Ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 itawekwa hadharani leo. Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani ...
MFANYABIASHARA, Evance Bisesagu (47) ambaye ni mkazi wa Bupumula Kata ya Nyamhongolo Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuchimba mahandaki sita na kufanya ...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema hakitambui ripoti ya tume ya uchunguzi iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuchunguza matumio ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba ...
Ongozeko la bei ya mafuta linalozidi asilimia 30 ndani ya mwezi mmoja linaiweka sekta ya ujenzi nchini katika wakati mgumu, makandarasi wakiomba hatua za haraka za kisera. Makandarasi wamesema hali ...
ELIZABETH Sylvester maarufu kama Sosomo, mkazi wa Kijiji cha Chudeko, Wilaya ya Songwe, amehukumiwa kifungo cha nje cha miezi 18, baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumuua mumewe, Ally Masanja, bila ...
MKUU wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, amezuia uhamisho wa walimu wa msingi na sekondari kufanyika katika wilaya zote mkoani kwake. Pia amewaagiza wakurugenzi wa halmashauri kuwahamisha mjini walimu ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results