Ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 itawekwa hadharani leo. Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani ...
MFANYABIASHARA, Evance Bisesagu (47) ambaye ni mkazi wa Bupumula Kata ya Nyamhongolo Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuchimba mahandaki sita na kufanya ...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema hakitambui ripoti ya tume ya uchunguzi iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuchunguza matumio ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba ...
Askari Polisi namba F 6746, Sajenti Sufian, ameiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni kuwa hakumpiga Nelson Jacob (32) alipokuwa akimchukua maelezo ya onyo kuhusiana na tuhuma za kughushi nyaraka za ...
Ongozeko la bei ya mafuta linalozidi asilimia 30 ndani ya mwezi mmoja linaiweka sekta ya ujenzi nchini katika wakati mgumu, makandarasi wakiomba hatua za haraka za kisera. Makandarasi wamesema hali ...
Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa JWTZ, Kanali Gaudentius Ilonda. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limetangaza nafasi za kuandikishwa jeshini kwa vijana wenye elimu ya sekondari ...
WANAMTANDAO wa Kupinga Rushwa ya Ngono Tanzania, wamepinga muswada wa mabadiliko ya Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya Ngono, Kifungu cha 10(b), unaotarajiwa kusomwa bungeni Jumatatu (kesho), ...
Rais Samia Suluhu Hassan, ameshiriki ibada ya Sikukuu ya Eid al-Fitr iliyofanyika mapema leo asubuhi katika Msikiti wa Msikiti wa Mfalme Mohamed wa Sita, uliopo Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Ibada ...