Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imemuhukumu kunyongwa hadi kufa 'Death by hanging' Abdalah Mussa maarufu Mr. bluu, baada ya kupatikana na hatia ya kumuua kwa makusudi Ezenia Kamana kwa ...
JARIBU kukumbuka kauli hii ya Oktoba 6, 2016 kutoka Mkuranga, mkoani Pwani: “Tena ndugu yangu… nitakupa eneo ulime miwa ili upate sukari ya viwandani na ya majumbani, tena nitakupa bure.” Huyo ni Rais ...
Wananchi wa Manispaa ya Morogoro wametakiwa kuendelea kutumia maji ya Bwawa la Mindu bila hofu, baada ya mamlaka husika kuthibitisha kuwa ubora wa maji haujaathirika kufuatia ajali ya lori lililomwaga ...
MJUMBE wa Tume ya Uchunguzi wa ghasia wakati na baada ya uchaguzi, Prof. Ibrahim Juma, amesema katiba inasema wazi kwamba kila mtu anahaki ya kuwa na maoni na kwamba kuna watu ambao ndio wanataka ...
Wananchi wa Mkoa wa Tabora wametakiwa kuwa makini na matapeli wanaojifanya mawakala wa huduma za kifedha, kufuatia kukamatwa kwa watu watano wanaotuhumiwa kuhusika na wizi wa shilingi milioni 40 ...
Baadhi ya wananchi wa kata za Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya wameendelea kukabiliwa na changamoto kubwa za kibinadamu kufuatia mafuriko na maporomoko ya ardhi yaliyotokea mwishoni mwa Machi 2026, baada ...
ELIZABETH Sylvester maarufu kama Sosomo, mkazi wa Kijiji cha Chudeko, Wilaya ya Songwe, amehukumiwa kifungo cha nje cha miezi 18, baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumuua mumewe, Ally Masanja, bila ...