Ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 itawekwa hadharani leo. Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani ...
ELIZABETH Sylvester maarufu kama Sosomo, mkazi wa Kijiji cha Chudeko, Wilaya ya Songwe, amehukumiwa kifungo cha nje cha miezi 18, baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumuua mumewe, Ally Masanja, bila ...
MFANYABIASHARA, Evance Bisesagu (47) ambaye ni mkazi wa Bupumula Kata ya Nyamhongolo Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuchimba mahandaki sita na kufanya ...
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh Ameir, amesema Serikali inaendelea kuimarisha elimu ya ufundi stadi ili iwe suluhisho la ajira kwa vijana nchini. Amesisitiza kuwa mwelekeo wa ...
Baada ya Gazeti la Nipashe kuchapisha mfululizo wa ripoti maalumu kuhusu tatizo la watoto wa mitaani mkoani Shinyanga, hatimaye serikali imechukua hatua kwa kuandaa mpango wa kuunda jukwaa maalumu la ...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema hakitambui ripoti ya tume ya uchunguzi iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuchunguza matumio ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba ...
Askari Polisi namba F 6746, Sajenti Sufian, ameiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni kuwa hakumpiga Nelson Jacob (32) alipokuwa akimchukua maelezo ya onyo kuhusiana na tuhuma za kughushi nyaraka za ...
THE Zanzibar Revenue Authority (ZRA) has reminded the business community that it has started implementing provisions of eight tax-related laws amended at the last Budget session, with the changes ...
Wananchi wa Kata ya Sinza, Manispaa ya Ubungo jijini Dar es Salaam, wameeleza hofu juu ya mpango wa serikali wa kuunganisha viwanja vyao kwa ajili ya ujenzi wa maghorofa marefu, wakihofia kupoteza ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results