Mwanamuziki wa kike wa Rwanda Knowless Butera, alikuwa msanii mkuu katika toleo la tatu la tamasha ya Improper Access, ambako alitoa burudani ya kusisimua katika hafla hiyo inayolenga kukuza vipaji vy ...
Watahiniwa zaidi ya milioni moja wameanza kufanya mtihani wa Kidato cha Nne, KCSE mwaka 2026, huku leo Jumatatu ikiashiria mwanzo wa mitihani mikuu ya maandishi kote nchini. Jumla ya watahiniwa 1,048, ...
Familia ya mwenyekiti wa chama cha upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu imetangaza kwamba kakake Tundu Allute Mughwai, atazikwa baada ya Tundu kusomewa hukumu yake. Mazishi hayo ya Mughwai aliyefariki ...
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Faustina Mfinanga maarufu kama Nandy, ametangaza rasmi ujio wa albamu yake mpya. Nyota huyo alitangaza hayo katika hafla aliyoandaa usiku wa kuamkia le ...
Kamati Kuu ya Uchaguzi nchini Israel imesisitiza kwamba matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika Jumanne bado ni halali, licha ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kudai kuwa kulikuwa na wizi wa kura. Mwenye ...
Mchekeshaji wa asili ya Uganda Yokana Mbuuse maarufu kama Kapere Lufotose amefariki. Taarifa za kifo chake zilichapishwa kwenye mitandao ya kijamii na kiongozi wa chama cha upinzani NUP Robert Kyagula ...
Waziri wa afya Aden Duale siku ya Jumatatu ametukana na viongozi wapya waliochaguliwa maajuzi wa Baraza la Magavana nchini (CoG) katika makao makuu ya Wizara .
Aliyekuwa Gavana wa kaunti ya Kiambu Ferdinand Waititu, amehukumiwa kifungo cha miaka 13 gerezani au alipe faini ya shilingi milioni 21 baada ya kupatikana na hatia ya ufisadi.
Information You Can Trust: Stay instantly connected with breaking stories and live updates. From politics and technology to entertainment and beyond, we provide real-time coverage you can rely on, ...
Mkenya Sheila Chepkirui amenyakua taji ya pili ya mbio za New York City Marathon nchini Marekani Jumapili jioni baada ya kukata utepe kwa muda wa saa 2 dakika 24 na 36.
Kenya na Canada zimesaini makubalulino na shirika la TBB nchini Canada utakaowezesha kubuniwa kwa mazingira bora na salama ya Wakenya kufanya kazi nchini Canada.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results