Wananchi wa Manispaa ya Morogoro wametakiwa kuendelea kutumia maji ya Bwawa la Mindu bila hofu, baada ya mamlaka husika kuthibitisha kuwa ubora wa maji haujaathirika kufuatia ajali ya lori lililomwaga ...
MJUMBE wa Tume ya Uchunguzi wa ghasia wakati na baada ya uchaguzi, Prof. Ibrahim Juma, amesema katiba inasema wazi kwamba kila mtu anahaki ya kuwa na maoni na kwamba kuna watu ambao ndio wanataka ...
Wananchi wa Mkoa wa Tabora wametakiwa kuwa makini na matapeli wanaojifanya mawakala wa huduma za kifedha, kufuatia kukamatwa kwa watu watano wanaotuhumiwa kuhusika na wizi wa shilingi milioni 40 ...
Baadhi ya wananchi wa kata za Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya wameendelea kukabiliwa na changamoto kubwa za kibinadamu kufuatia mafuriko na maporomoko ya ardhi yaliyotokea mwishoni mwa Machi 2026, baada ...
MWENYEKITI wa Tume ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, amesema katika uchunguzi wao hawakutegemea sana ushahidi kutoka kwa ...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) – Zanzibar kimesema kuwa kimeamua kutoshiriki na kutosaini maadili hayo kutokana na msimamo wetu wa muda mrefu kwamba hakutakuwa na uchaguzi huru, wa haki ...
Jaji Hamidu Mwanga amekataa kujitoa katika kesi ya mgawanyo wa mali dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kama alivyotaka Kaimu Katibu Mkuu, John Mnyika na Bodi ya Wadhamini wa Chama ...