Katika kutekeleza Malengo ya Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ikiwamo lengo la Asilimia 80 ya ...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana,Dk. Joel Nanauka, amewataka vijana nchini kuchangamkia fursa za kiuchumi na ...
Zaidi ya watalii 90 wametembelea Hifadhi ya Taifa Mkomazi, ikiwa ni sehemu ya Tamasha la Same Utalii Festival (SUF) msimu wa ...
Ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 itawekwa hadharani leo. Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani ...
ELIZABETH Sylvester maarufu kama Sosomo, mkazi wa Kijiji cha Chudeko, Wilaya ya Songwe, amehukumiwa kifungo cha nje cha miezi 18, baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumuua mumewe, Ally Masanja, bila ...
Ongozeko la bei ya mafuta linalozidi asilimia 30 ndani ya mwezi mmoja linaiweka sekta ya ujenzi nchini katika wakati mgumu, makandarasi wakiomba hatua za haraka za kisera. Makandarasi wamesema hali ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results