Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana,Dk. Joel Nanauka, amewataka vijana nchini kuchangamkia fursa za kiuchumi na kuwa tayari kushiriki shindano jipya la kitaifa la "Vijana Uchumi Challeng ...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema hakitambui ripoti ya tume ya uchunguzi iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuchunguza matumio ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba ...
Ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 itawekwa hadharani leo. Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani ...
MFANYABIASHARA, Evance Bisesagu (47) ambaye ni mkazi wa Bupumula Kata ya Nyamhongolo Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuchimba mahandaki sita na kufanya ...
ELIZABETH Sylvester maarufu kama Sosomo, mkazi wa Kijiji cha Chudeko, Wilaya ya Songwe, amehukumiwa kifungo cha nje cha miezi 18, baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumuua mumewe, Ally Masanja, bila ...
WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema Tanzania ina mtandao mkubwa zaidi wa barabara kulinganisha na nchi yoyote jirani huku akisifu jitihada za Watanzania kwenye kujenga taifa lao kwa nguvu na ...
Watu nane wamefariki dunia na wengine 36 wamejeruhiwa baada ya basi la abiria mali ya Kampuni ya Nyehunge kugongana na basi la Asante Rabi alfajiri ya saa 12 Oktoba 22,2024 katika eneo la Ukiriguru ...
SITISHO la mapigano kati ya Marekani na Iran limekuwa hatarini baada ya Marekani kusema imekamata meli ya mizigo ya Iran iliyojaribu kuvunja vizuizi vyake, huku Tehran ikiapa kulipiza kisasi huku ...